Jarida la Mapishi

Smoothie ya chocolate na ndizi

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Smoothie ya chocolate na ndizi, ni smoothie tamu yenye ladha kama milkshake ya chocolate. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia chocolate, ndizi, pamoja na maziwa. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chocolate na ndizi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, ndizi, pamoja na chocolate syrup, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *