Jarida la Mapishi

Smoothie ya parachichi

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Smoothie ya parachichi, ni smoothie ambayo ni rahisi kutengeneza, nzito na laini, ambayo inafaa kwa kunywa kama kifungua kinywa. Waweza kunywa smoothie hii wakati wowote kama kiburudisho pamoja na kitafunio chochote ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya parachichi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, parachichi, maziwa, mtindi wa vanilla, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *