Jarida la Mapishi

Lemonade ya chungwa

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Lemonade ya chungwa, ni kinywaji kizuri na ambacho chafaa kunywa hasa katika kipindi cha joto. Mchanganyiko wa lemonade hii huburidisha na husaidia sana katika kukata kiu. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya chungwa.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, machungwa, limao, apple, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.

  Step3

  Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *