Jarida la Mapishi

Juisi ya nanasi

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya nanasi, ni juisi tamu ambayo ni rahisi sana kutengeneza ukiwa nyumbani, kwa sababu mahitaji yake yanapatikana kwa urahisi mahali popote ulipo. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya nanasi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka nanasi, maji, sukari pamoja na limao iliyo kamuliwa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko wako wa juisi umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *