Jarida la Mapishi

Smoothie ya strawberry na ndizi

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya strawberry na ndizi, ni smoothie nzuri kwa afya na yenye kuburudisha yeye virtubisho ambavyo vitakusaidia kukuongeza nguvu unayohitaji kustahimili siku nzima. Pia smoothie hii ina Vitamini C kwa wingi pamoja na virutubisho vingine vingi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya strawberry na ndizi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa vanilla, matunda ya strawberry, maziwa, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *