Jarida la Mapishi

Smoothie ya pichi

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Smoothie ya pichi, ni kinywaji kitamu, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya pichi, maziwa, pamoja na ndizi. Smoothie hii yafaa sana kunywa katika msimu wa kiangazi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya pichi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, pichi pamoja na maziwa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *