Jarida la Mapishi

Juisi ya balungi

Juisi ya balungi | Jarida la Mapishi
  • Maandalizi
    Dakika 10
  • Kupika
    -
  • Walaji
    1

Juisi ya balungi, ni juisi nzuri yenye Vitamini C kwa wingi ambayo ni rahisi sana kutengeneza. Juisi yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Fuata hatua zifuatazo ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya balungi.

Ingredients

    Directions

    Step1

    Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga balungi, limao, majani ya mint, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

    Step2

    Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

    Conclusion

    Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

    Unaweza Pia Kusoma Hizi

    Leave a Review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *


    The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.