-
Maandalizi-
-
KupikaDakika 4
-
Walaji1
Bisi za nyanya, ni bisi ambazo ni rahisi kupika, zenye ladha nzuri yanya. Bisi hizi hupikwa kwa kutumia tomato sauce pamoja na pilipili. Bisi hizi zafaa kula kwenye sherehe pamoja na kinywaji chochote ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kupika bisi hizi za nyanya.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua kikaango kikubwa chenye mafuta ya kupikia, na ukiweke kwenye jiko lenye moto wa wastani, kisha acha mafuta yapate moto. Weka kwenye hicho kikaango, tomato sauce pamoja na pilipili ya unga, kisha changanya vizuri.
Step2
Weka bisi zilizopikwa halafu changanya vizuri, kisha epua na uweke pembeni ili zipoe, kabla ya kula.
Leave a Review