Jarida la Mapishi

Vitafunio

Vimanda vya ukwaju

  • 0 / 5

Vimanda vya ukwaju, ni kitafunio kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia mayai yaliyo changanywa na ukwaju pamoja na viungo. Vimanda hivi

READ MORE

Vimanda vya viazi vya kuponda

  • 0 / 5

Vimanda vya viazi vya kuponda, ni chakula kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia viazi mviringo vilivyo chemshwa na kupondwa, mayai, vitunguu

READ MORE

Bisi za chocolate

  • 0 / 5

Bisi za chocolate, ni kitafunio kilicho sheheni ladha nzuri ya chocolate, ambazo hupikwa kwa kutumia cocoa powder, sukari, pamoja na

READ MORE

Biskuti za machungwa na mpopi

  • 0 / 5

Biskuti za machungwa na mpopi, ni biskuti tamu zilizo sheheni ladha ya machungwa halisi pamoja na mbegu za mpopi. Biskuti

READ MORE

Bisi za mdalasini

  • 0 / 5

Bisi za mdalasini, ni bisi ambazo hupikwa kwa kutumia siagi iliyo yeyushwa, sukari, pamoja na mdalasini. Ladha ya bisi hizi,

READ MORE

Biskuti za maboga na machungwa

  • 0 / 5

Biskuti za maboga na machungwa, ni biskuti ambazo hupikwa kwa kutumia boga lililo sagwa, machungwa yaliyo kamuliwa, maganda ya machungwa

READ MORE

Biskuti za shayiri na chocolate

  • 0 / 5

Biskuti za shayiri na chocolate, ni biskuti tamu na laini, ambazo hupikwa kwa kutumia unga wa ngano, shayiri, pamoja na

READ MORE

Biskuti za jozi na ndizi

  • 0 / 5

Biskuti za jozi na ndizi, ni biskuti tamu na rahisi kupika, ambazo hupikwa kwa kutumia ndizi mbivu, unga wa ngano,

READ MORE

Biskuti za limao na mpopi

  • 0 / 5

Biskuti za limao na mpopi, ni biskuti ambazo zime sheheni ladha ya limao. Mbegu za mpopi zilizomo katika biskuti hizi,

READ MORE

Biskuti za pasheni na machungwa

  • 0 / 5

Biskuti za pasheni na machungwa, ni biskuti zenye ladha ya utamu na uchachu ambao unatokana na mchanganyiko wa matunda ya

READ MORE