-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya strawberry na kiwi, ni smoothie yenye afya na rahisi sana kutengeneza, ambayo unaweza kuitengeneza katika muda mfupi sana wa ndani ya dakika 5 tu. Smoothie hutengenezwa kwa kutumia kiwi, strawberry, pamoja na mtindi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jimsi ya kutengeneza smoothie hii ya strawberry na kiwi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, juisi ya nanasi na chungwa, mtindi wa vanilla, matunda ya strawberry, ndizi, pamoja na kiwi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review