Jarida la Mapishi

Lemonade ya tikiti na strawberry

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Lemonade ya tikiti na strawberry, ni kinywaji cha kuburudisha na rahisi kutengeneza, chenye rangi nzuri ya pinki na ladha nzuri ya kupendeza. Unaweza kuongeza matunda ya strawberry kwenye lemonade hii, endapo unataka ladha ya strawberry itawale zaidi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya tikiti na strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, malimao, apple, tikiti, matunda ya strawberry, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.

  Step3

  Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *