Jarida la Mapishi

Smoothie ya ndizi na embe

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya ndizi na embe, ni kinywaji kizuri, rahisi kutengeneza na chenye afya, ambacho chawafaa hasa watoto wadogo. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia matunda ya maembe, ndizi, pamoja na maziwa. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeza smoothie hii ya ndizi na embe.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, juisi ya chungwa na embe, maembe, mtindi, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *