Jarida la Mapishi

Mikate

Mkate wa zucchini na ndizi

  • 0 / 5

Mkate wa zucchini na ndizi, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia zucchini iliyokunwa pamoja na ndizi mbivu zilizo katwa katwa.

READ MORE

Mkate wa nazi na zucchini

  • 0 / 5

Mkate wa nazi na zucchini, ni mkate mtamu ambao hupikwa kwa kutumia nazi iliyokunwa, tui la nazi, zucchini iliyokunwa, pamoja

READ MORE

Mkate wa zucchini

  • 0 / 5

Mkate wa zucchini, ni mkate mtamu na rahisi kupika, ambao hupikwa kwa kutumia zucchini zilizo kunwa. Mkate huu wafaa sana

READ MORE

Mkate wa limao na zucchini

  • 0 / 5

Mkate wa limao na zucchini, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia limao iliyo kamuliwa na maganda yake kukunwa, pamoja na

READ MORE

Mkate wa maboga na machungwa

  • 0 / 5

Mkate wa maboga na machungwa, ni mkate ambao asili yake ni kutoka nchini Ukrainia. Mkate huu hupikwa kwa kutumia boga

READ MORE

Mkate wa maboga na nazi

  • 0 / 5

Mkate wa maboga na nazi, ni mkate mtamu na rahisi kupika, ambao hupikwa kwa kutumia boga lililo sagwa, tui la

READ MORE

Mkate wa aprikoti na viazi vitamu

  • 0 / 5

Mkate wa aprikoti na viazi vitamu, ni mkate unaopikwa kwa kutumia matunda halisi ya aprikoti pamoja na viazi vitamu vilivyo

READ MORE

Mkate wa jozi

  • 0 / 5

Mkate wa jozi, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia unga wa ngano, maziwa, jozi, pamoja na viungo. Mkate huu wafaa

READ MORE

Mkate wa pekani

  • 0 / 5

Mkate wa pekani kama jina lake lilivyo, ni mkate unaopikwa kwa kutumia njugu za pekani. Ukiachana na njugu za pekani,

READ MORE

Mkate wa buttermilk

  • 0 / 5

Mkate wa buttermilk, ni mkate laini na wenye harufu nzuri ya kuvutia. Buttermilk inayowekwa katika mkate huu, husaidia kulainisha mkate

READ MORE