Jarida la Mapishi

Bisi za chai

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  Dakika 8
 • Walaji
  12

Bisi za chai, ni bisi za kipekee ambazo asili yake ni kutoka nchini Japan. Bisi hizi hutegenezwa kwa kuchanganya majani ya chai pamoja na bisi zilizopikwa. Ikiwa wewe ni mpenzi wa chai, basi nakuhakikishia utazipenda bisi hizi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kupika bisi hizi za chai.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua bakuli kubwa. Weka bisi zilizopikwa ndani ya hilo bakuli, kisha weka pembeni.

  Step2

  Chukua bakuli ndogo. Weka kwenye hiyo bakuli, majani ya chai, sukari, mdalasini, pamoja na chumvi, kisha changanya vizuri.

  Step3

  Chukua mchanganyiko wa bakuli ndogo ya pili na umimine kwenye bakuli kubwa lenye bisi, kisha changanya vizuri, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *