Jarida la Mapishi

Smoothie ya Strawberry

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  -
 • Walaji
  2

Smoothie ya strawberry, ni kinywaji kizuri cha matunda ambacho kinafaa kunywa kama kifungua kinywa. Kinywaji hiki kina virutubisho vingi kama vile Vitamini pamoja na Protini ambayo inapatikana kwenye maziwa. Jaribu kunywa smoothie hii badala ya milkshake, na nakuhakikishia, hutajutia kunywa smoothie hii.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, maziwa, matunda ya strawberry, sukari, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *