Jarida la Mapishi

Ice cream ya parachichi na nazi

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  3

Ice cream ya parachichi na nazi, ni ice cream tamu na laini, ambayo hutengeneza kwa kutumia tunda la parachichi lilio iva, tui la nazi, pamoja na krimu. Ice cream hii yawafaa zaidi wale ambao hawanapenda kula vyakula vya mboga. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza ice cream hii ya parachichi na nazi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya parachichi, agave syrup, tui la nazi, pamoja na limao, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

  Step2

  Mimina mchanganyiko huo wa ice cream kwenye mashine ya kutengenezea ice cream (Ice Cream Maker Cooler). Washa mashine hiyo kwa muda wa dakika 45 mpaka 60, au hadi utakapo ona ice cream imekuwa nzito na laini.

  Step3

  Ondoa ice cream hiyo kutoka kwenye mashine ya kutengeneza ice cream, kisha pakua kwenye bakuli safi, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *