Jarida la Mapishi

Ice cream ya mtindi

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  6

Ice cream ya mtindi, ni ice cream tamu inayo tengenezwa kwa kutumia mtindi pamoja na krimu. Ice cream hii yaweza kuliwa wakati wowote ule, au kwenye sherehe ya aina yoyote ile. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza ice cream ya mtindi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza ice cream hii ya mtindi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, cream cheese, double cream, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umechanganyika vyema na kuwa laini.

  Step2

  Mimina mchanganyiko huo wa ice cream kwenye mashine ya kutengenezea ice cream (Ice Cream Maker Cooler). Washa mashine hiyo kwa muda wa dakika 40 mpaka 50, au hadi utakapo ona ice cream imekuwa nzito na laini.

  Step3

  Ondoa ice cream hiyo kutoka kwenye mashine ya kutengeneza ice cream, kisha pakua kwenye bakuli safi, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *