Jarida la Mapishi

Ice cream ya lavender

 • Maandalizi
  Dakika 15
 • Kupika
  -
 • Walaji
  4

Ice cream ya lavender, ni ice cream yenye harufu nzuri ya lavender inayo tengenezwa kwa kutumia maua halisi ya lavender. Lavender inayowekwa, huifanya ice cream iwe na ladha nzuri zaidi na kitindamlo cha kisasa na cha kuburidisha. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza ice cream hii ya levender.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, double cream, pamoja na lavender flower syrup, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umechanganyika vyema na kuwa laini.

  Step2

  Mimina mchanganyiko huo wa ice cream kwenye mashine ya kutengenezea ice cream (Ice Cream Maker Cooler). Washa mashine hiyo kwa muda wa dakika 40 mpaka 45, au hadi utakapo ona ice cream imekuwa nzito na laini.

  Step3

  Ondoa ice cream hiyo kutoka kwenye mashine ya kutengeneza ice cream, kisha pakua kwenye bakuli safi, tayari kwa kula.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *