Jarida la Mapishi

Juisi ya limao ya tikiti na strawberry

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya limao ya tikiti na strawberry, yenye rangi nzuri ya pink, ni juisi nzuri ya kuburudisha na yenye ladha ya kupendeza. Unaweza kuongeza zaidi matunda ya strawberry, endapo unataka ladha ya strawberry itawale zaidi katika juisi hii. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya limao ya tikiti na strawberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, limao, apple, tikiti, matunda ya strawberry, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *