Jarida la Mapishi

Juisi ya limao ya raspberry

 • Maandalizi
  Dakika 10
 • Kupika
  -
 • Walaji
  1

Juisi ya limao ya raspberry, juisi yenye ladha tamu na rangi nzuri ya pinki. Kama wewe hujawahi kunywa juisi hii, basi nakuhakikishia, juisi hii itakuwa moja ya vinywaji vyako uvipendavyo. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya limao ya raspberry.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, limao, matunda ya apple, matunda ya raspberry, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *