Jarida la Mapishi

Juisi ya limao ya pichi

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  Dakika 10
 • Walaji
  1

Juisi ya limao ya pichi, ni juisi nzuri, rahisi kutengeza na ya kuburudisha. Kunywa juisi hii hasa katika msimu wa matunda ya pichi, ili upate faida za kiafya zitokanazo na tunda hili la pichi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeza juisi hii ya limao ya pichi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya pichi, limao, apple, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *