Jarida la Mapishi

Juisi ya limao ya balungi

 • Maandalizi
  -
 • Kupika
  Dakika 10
 • Walaji
  1

Juisi ya limao ya balungi, ni juisi nzuri ambayo yafaa kunywa hasa katika kipindi cha joto. Unywaji wa juisi hii ya balungi, ni njia mojawapo ya kula tunda hili adimu lenye Vitamini C kwa wingi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza juisi hii ya limao ya balungi.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, limao, tunda la balungi, apple, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wa juisi umesagika vizuri.

  Step2

  Chuja juisi kwa kutumia chujio, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi kabla ya kunywa.

  Conclusion

  Unaweza kuongeza maji kwenye juisi hii kadiri upendavyo, endapo utaona maji yaliyomo katika juisi hii ni kidogo.

  Unaweza Pia Kusoma Hizi

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *