Jarida la Mapishi

Chai ya kutibu mafua

 • Maandalizi
  Dakika 5
 • Kupika
  Dakika 5
 • Walaji
  4

Chai ya kutibu mafua, ni chai ambayo inatibu sio tu mafua, bali pia inatibu na kuondoa homa, maumivu ya mwili, na kikohozi. Fuata hatua zifuatazo, ili kujifunza jinsi ya kupika chai hii.

Ingredients

  Directions

  Step1

  Chukua kikombe kikubwa, weka maji ya moto pamoja na vipande vya slesi ya tangawizi ulivyokwisha vitwanga.

  Step2

  Weka limao uliyoikamua pamoja na asali, mdalasini, karafuu na pili pili, kisha koroga vizuri tayari kwa kunywa.

  Conclusion

  Kama hupendelei kunywa chai hii pamoja na makapi yake ya viungo, unaweza kuichuja kabla ya kunywa.

  Leave a Review

  Your email address will not be published. Required fields are marked *